About

Marietta Makoye

Network Marketing Consultant

Mobile: 0769 888605              Email: gorretti54@gmail.com

                                                       

————————————————–

Aloe vera ni nini?

 Ni moja kati ya mimea ya dawa iliyojulikana tangu kitambo sana. Una zaidi ya miaka 2000 katika historia ya sayansi.

Una umbo kama cactus, lakini ni jamii ya mimea ya lily. Kuna zaidi ya aina 200 za mimea ya aloe vera (shubiri). Una zaidi ya virutubisho 75 ikiwa ni pamoja na madini 20, amino acid 18 na vitamini 12.

Aloe vera(shubiri) ina faida kuu tano kwa mwili wa binadamu.

Kupenya mwilini- aloe vera  hufikia tishu za ndani kabisa tabaka saba  kwenda ndani.

 •  Huua vimelea vya magonjwa- ina vichocheo sita vinavyoua vimelea vya magonjwa kama bacteria, virus na fangas
 • Uzalishaji wa chembechembe hai za mwili-huchochea utengenezwaji wa chembechembe mpya na tishu mpya zenye afya.
 • Hufanya mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri – hutuliza matatizo yanayo athiri mfumo wa fahamu.
 • Husafisha-kuondoa sumu mwilini na kufanya utendaji kazi wa mwili urudi katika hali ya kawaida.
 • Aloe vera ni kinywaji cha asili ambacho huboresha na kuondoa maradhi mengi katika miili yetu.

Aloe vera inaweza kusaidia katika:

 • Vidonda vinavyotokana na kuungua, kujikata, michubuko, vidonda vya tumbo , kuumwa na wadudu wakali na wanyama.
 • Matatizo ya kutopata haja hasa maumivu wakati wa kupata haja kubwa.
 • Matatizo ya ngozi kama psoriasis,pumu ya ngozi(eczema),chunusi(acne) na dermatitis
 • Matatizo mengine kama shida ya mmeng’enyo wa chakula, kinga ya mwili, ugonjwa  wakoo, pumu na uchovu wa mwili usioeleweka,maumivu sehemu mbalimbali za mwili, matatizo ya usingizi .
 • Aloe vera hubadilisha mfumo wa mwili wako uendane na mahitaji ya mwili hivyo huondoa vitu  visivyohitajika katika mwili na kuondoa matatizo ya kuharisha na kutopata haja  kubwa kirahisi.
 • Aloe vera ni salama, haina sumu kwa binadamu na haina madhara.

Kimsingi ni kama juice. Hata ukizidisha kipimo haileti madhara. Inaweza kutumika ndani ya mwili kwa kunywewa  au nje ya mwili kwa kupakwa.

 • Hupunguza maumivu
 • Hupunguza uvimbe
 • Huondoa muwasho
 • Huondoa fangasi
 • Huu bacteria kama ikichanganywa na kinyaji kingine

KWANINI UTUMIE ‘FOREVER LIVING ALOE VERA’?

 • Walimaji, wasindikaji na wasambazaji  wakubwa wa aloe vera.
 • Ikiwa shambani haichanganywi  na madawa ya kuulia wadudu wala mbolea za kemikali  na ikishasindikwa haiongezwi ladha zisizo za asili.
 • Aloe vera hii inasindikwa kwa utaalam wa pekee(patented stabilization process) na kuhifadhiwa na virutubisho vya asili ili isiharibike.
 • Asilimia mia moja(100%) ya aloe vera
 • Haichemshwi kwa kuwa joto huharibu virutubisho muhimu
 • Hatuvuni aloe vera mpaka ifike miaka minne ya upandaji.
 • Tunatumia mmea mmoja tu wa aloe vera unaojulikana kama ‘aloe barbadensis miller’.
 • Zimepitishwa na baraza la kimataifa la kuthibiti  viwango na ubora wa aloe vera liitwalo , ‘International Aloe Science Council’.
 • Bidhaa  zetu zote zina guarantee ya siku 30.
 • Zimepitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania(TFDA).

————————————————–

BAADHI YA BIDHAA ZINAZOTUMIWA SANA TANZANIA…

FOREVER BRIGHT TOOTH GEL

Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized’ Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote.

Inang’arisha meno bila ya kuchuna tabala la juu la meno – ENAMEL

Huzuia meno yasitoe damu , kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno  moja kwa moja bila ya kupiga mswaki.

Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.

Faida: Huzuia kutokwa damu , harufu mbaya , kuimarisha  fizi , matundu kwenye meno, huponya vidonda vya mdomoni.

Aloe vera has long been treasured for its quality and versatility – including dental care. Your teeth will gleam with Forever Bright, one of the best toothgels on the market.
Formulated for the entire family to use, Forever Bright contains only the highest quality ingredients. It is also suitable for vegetarians since it contains no animal by-products. Natural peppermint and spearmint flavorings leave your mouth feeling fresh and clean.Years of research, development and collaboration with scholars and dentists have provided Forever Living with the optimum aloe-based formula for effective cleaning. Your family will love the flavor and the clean mouth-feel.

Note: This product does not contain fluoride.

 • Contains bee propolis
 • Formulated for the entire family
 • Does not contain fluoride                  Tsh 13,000/-

————————————————–

ALOE VERA  GEL(97% ALOE)

Ni uti wa mgongo na bidhaa ya kwanza kutengenezwa  na kampuni.

Inatokana na gel ya katikati ya jani la Aloe vera. Bidhaa  hii imetengenezwa  kiumahiri  na mfumo wenye hati miliki uitwao ‘Stabilization Process’. Ni bidhaa ya kwanza kupewa mihuri  na International Aloe Science Council. Bidhaa hii ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20 , amini acid 18  na enzymes.

Kinywaji hiki cha asili  kinasaidia kuondoa sumu , kusafisha na kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa vimbe,kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, pressure, kisukari, vidonda tumbo , kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina uwezo  wa kukaa miaka 5 kama hakijafunguliwa na mieazi 3 endapo kitafunguliwa na kuhifadhiwa  sehemu isiyo na joto kali.

Imagine slicing open an Aloe leaf and consuming the gel directly from the plant. Our Aloe Vera Gel is as close to the real thing as you can get.

The miraculous aloe leaf has been found to contain more than 200 compounds.   A product of our patented aloe stabilization process, our gel is favored by those looking to maintain a healthy digestive system and a natural energy level.

The first to receive certification by the International Aloe Science Council, this rich cocktail of pulp and liquid authenticates this product just as nature intended. Taken daily, either alone or mixed with pure fruit juice, it is one of the best health drinks available!       Tsh 41,000/-

————————————————–

FOREVER ARGI+

L-Arginine is an amino acid that’s so potent, scientists refer to it as the “Miracle Molecule.” And for good reason, because our bodies convert L-Arginine into nitric oxide, a molecule that helps blood vessels relax and open wide for greater blood flow. Greater blood flow supports many important functions in our body:

 • Healthy blood pressure levels
 • Overall cardiovascular health
 • Immune function
 •  Muscle growth
 • Bone & tissue growth & repair
 • Male sexual function
 • Fat and glucose metabolism
 • Anti-aging hormone production and more

With so many health benefits, it’s no wonder L-Arginine is generating so much excitement. New ARGI+ provides all the power of L-Arginine, plus:

 • Pomegranate – well-known for its strong antioxidant properties
 • Red Wine Extract – to help maintain healthy cholesterol levels
 • And Grape Skin and Berry extracts for cardiovascular and immune system health

Together, these ingredients create a new generation of supplement – one that supports better health throughout your entire body. Just a scoop of ARGI+ mixed with Forever Natural Spring Water or your favorite Aloe drink helps provide a performance boost to every part of you. Add optimal health to your family’s diet with the power of L-Arginine!

 • L-Arginine is known as the “Miracle Molecule”
 • Proprietary fruit blend adds antioxidant power
 • Boosts nitric oxide production       Tsh 124,000/-

————————————————–

AVOCADO FACE AND BODY SOAP

Natural beauty starts with clean, healthy skin. And clean, healthy skin starts with nature. For over 30 years, Forever Living Products has been a leader in finding and perfecting natural sources for softer, smoother, beautiful skin. Our Avocado Face & Body Soap is a perfect example.

Made with 100% pure avocado butter, Avocado Face & Body Soap loves your skin, moisturizing as it cleans with the natural, rejuvenating properties of this powerful fruit. Avocado offers relief for almost every skin type, gently cleansing oily skin with no irritation to keep pores clear and healthy. For dry, sensitive skin, it soothes quickly and penetrates to nourish and moisturize.

And because it’s a moisturizer and a cleanser, Avocado Face and Body Soap continues working after you bathe. The fresh citrus scent is a gentle reminder that it’s helping to keep your skin soft, supple and healthy all day long.

 • Avocado is a rich source of vitamins A, B, D and E.
 • Contains antioxidants to help combat free radicals.     Tsh 11,000/-

————————————————–

ALOE VERA SHIELD DEODORANT STICK

Ina aloe vera ya asili inayoua vijidudu na inyoondoa harudu mbaya katika makwapa.

Haina chumvi chumvi za aluminium ni sumu na huharibu mfumo wa fahamu,huvuruga kiwango cha calcium kwenye mwili na hivyo kuathiri parathyroid gland . Parathyroid gland ikizidi husababisha maumivu, magonjwa ya akili na constipation. Pia husababisha miwasho , majipu na vimbe

Haina Alcohol wala anti-perspirant hivo haiharibu ngozi wala kuziba vitundu, pia haichomi na hutumika hata baada ya kunyoa nywele za makwapani.

Faida: Huondoa harufu mbaya na hufanya ngozi iwe laini na inaweza kutumiwa kwa muda mrefu.

When the temperature is rising and the pressure is on, it is a real confidence-booster to maintain that fresh feeling from the start of the day. Aloe Ever-Shield® Deodorant Stick provides effective, all-day protection against underarm odor, and can be applied directly after showering or waxing without stinging. Forever Living Products has formulated a product that glides on smoothly, does not stain clothes, and maximizes the deodorant properties of aloe vera while eliminating ingredients that could be harmful to your health.

Made with stabilized aloe vera gel, this gentle blend of ingredients contains none of the harmful anti-perspirant aluminum salts found in many other deodorants on the market.

•  Contains no aluminum salts

• Does not stain clothes

• Can be used directly after shaving or waxing

•  Rich in texture        Tsh 12,000/-

————————————————–

ALOE LIPS(35% ALOE VERA)

Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .

Husaidia kuondoa  mipasuko ya midomo, ukavu, vidonda na michubuko.

Pia husaidia na kuondoa maumivu na kuponya watu walio jikata, kung’atwa na wadudu na kuungua moto.

Bidhaa  hii ikipakwa  mwilini husaidia kufukuza mbu.

Kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa(haemorrhoids), ikipakwa  husaidia kuu bacteria na kuondoa uvimbe.

The soothing properties of aloe vera are ideally suited to care for your lips. Aloe, jojoba and beeswax combine to create the finest all-season lip product on the market today. Aloe Lips soothes, smoothes and moisturizes chapped and dry lips.

Whether you are skiing, sunbathing, or enjoying the outdoors, its compact size makes it convenient to keep on hand. If your lips could talk, they’d ask for Aloe Lips!

 • Moisturizing Aloe-based formula
 • Gives your lips gloss
 • Great for year-round use      Tsh 6,000/-

————————————————–

————————————————–

SONYA COLOR COLLECTION

Ni mkusanyiko wa rangi za asili  za vipodozi  zenye kusaidia  muonekano wa asili na uzuri nje na kujisikia vizuri ndani . Ni bidhaa za asili zenye :

–         Aloe vera  inayosaidia kulinda, kulisha na kuongeza unyevu kwenye ngozi

–         Marine extracts(Mimea ya baharini) ambayo inalainisha epidermis

–         Antioxidants(Vitamin A,C & E ) ambazo zinaondoa sumu za free radicals  ambazo zinaua cell na kuharibu muonekano wa ngozi.

–         Chamomile inayoondoa maumivu  na allege zinazoweza kutoke kwenye ngozi

Mafuta ya parachichi ambayo yana vitamin A, B na lecithin yanayafanana na mafuta asili yapatikanayo kwenye ngozi, yanayofanya ngozi iwe  nyororo.

Tunazo lipstick, foundation,translucent powder, lip liner , concealer, mascara , eye pencil, eyeshadow na blusher za rangi zote

————————————————–

SONYA SKIN CARE

Bidhaa hii ya ngozi ni ya pekee yenye aloe vera,matunda,white tea (anti-oxidant) na unyevu wa ziada kwa ajili ya ngozi yako.

Husaidia kuhuisha na kuongeza unyevu kwenye ngozi.

Ina bidhaa tano ndani yake, ambazo ni :

–         Aloe purifying cleanser

–         Aloe refreshing toner

–         Aloe nourishing serum

–         Aloe balancing cream

–         Aloe deep cleansing exfoliator

ambazo zote hufanya kazi pamoja na kuiacha ngozi yako ionekane fresh  na yenye mvuto  Tsh 245,000/-

————————————————-

SONYA LIP GLOSS

CRYSTAL CLEAR , VANILLA PEARL, SUNGLOW, BERRY MAUVE

Ni mfumo mpya wa Sonya lip gloss ikiwa na aloe vera gel,vitamin A & E,aloe vera oil extract , na marine extracts ambavyo  hulainisha midomo yako na kuifanya ing’ae kwa muda mrefu.

Sonya lip gloss inaweza kutumika juu ya Sonya lip  pencil, lipstick au yenyewe ili kung’arisha rangi.

MUHIMU:  Uchaguzi  mzuri wa rangi , husaidia kutoa mwonekano mzuri, inaweza kutumika peke yake au juu ya Sonya lipstick  na ni rahisi kutumia.

Tsh 20,000/-

————————————————–

BIDHAA ZAIDI ZA UREMBO

PERSONAL CARE

SKIN CARE

SONYA SKIN CARE

COSMETICS

————————————————–

————————————————–

KWA MAELEZO ZAIDI YA BIDHAA ZA FOREVER LIVING  WASILIANA NAMI:

Mobile: 0769888605

Email: gorretti54@gmail.com

————————————————–

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s